ndugu zangu siku zote maisha yanachangamoto sana yani mtu ukiwa huna kazi hata heshima inapungua si kwa ndugu hadi marafiki wanakudharau na kukatisha tamaa lakini nimegundua changamoto kwa upande fulani zinatuongezea uwezo wa kufikiri na kukomaa katika kupambana nayo mi ilifika kipindi maisha...
Aisee nimeiona hiyo Mburahati mi nafikiri ni makosa ya kibinadamu ingawa kwa upande flani yamemnyima mtu haki yake ya kufanya usahili lakini mwisho wa siku kila kitu kinatokea kwa sababu labda wangeedit vizuri wangeweza kupunguza hayo makosa
usikate tamaa endelea kuapply ndugu pia ili uweze kujikimu kimaisha anza kibiashara cha kuweza kupata sent mbili tatu mambo yatakaa sawa tu pia ku volunteer i mean kujitolea ni njia moja wapo ya kupata ajira ya kudumu kama ukiifanya kwa bidii..NO SURRENDER.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.