Recent content by Sugar30

  1. S

    Tafadhali msaidie mtoto Gwakisa aweze kupata matibabu

    Soma hadi chini, utaona link ya video, baba mtoto akielezea. Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
  2. S

    Tafadhali msaidie mtoto Gwakisa aweze kupata matibabu

    Habari Wakuu, Kuna suala ambalo linahitaji mchango wetu kama Watanzania, kama Binadamu na kama Wazazi. Kuna mtoto wa Kitanzania anaitwa Gwakisa Aliko Mwaibambe mwenye umri wa miaka 5 aliye na tatizo la kuziba mdomo kutokana na ugonjwa wa NOMA (Cancrum Oris) anahitaji kupelekwa India kwa ajili...
  3. S

    Je, ni sababu gani zinazosababisha mimba za utotoni na kupelekea Wasichana wadogo kuwa Mama katika Umri mdogo

    Mimba za utotoni zipo, wanaopata mimba hizi ni watoto. Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009, inatambua kuwa mtoto ni mtu yeyote aliye chini ya miaka 18, kwa hiyo basi msichana wa miaka 17 au 11 akipata ujauzito, huyu ni mtoto aliyepewa ujauzito.
  4. S

    Je, ni sababu gani zinazosababisha mimba za utotoni na kupelekea Wasichana wadogo kuwa Mama katika Umri mdogo

    Sasa hapa nani mwenye makosa, je, ni hawa watoto wa kike au huyu mtu mzima anayemtongoza mtoto. Maadili yawe kwa pande zote. Ndio mana basi, elimu ya kujitambua na afya ya uzazi, maadili vinatakiwa kutolewa kote kwa watoto wa kiume na wa kike, ili wote wajue haki na wajibu wao.
Back
Top Bottom