Recent content by Sudysoko

  1. Sudysoko

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Wewe ulisikia wapi unachokisema ? CCM kwa maendeleo yaliyoyafanya Zanzibar hakuna mtu au chama kinaweza kuongoza haya
  2. Sudysoko

    Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Zanzibar 2020 ni zamu yetu CCM tena tunaenda na DK Mwinyi
  3. Sudysoko

    GE2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Tuache ubishi Magufuli wa 2015 na 2020 ni watu tofauti sana yaaani amezidi kuwa na mvuto Kwa watanzania kuliko 2015 Hii inaonyesha dhahiri anaenda kuongoza katika uchaguzi mkuu oktoba 28.
  4. Sudysoko

    GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Kwakuwa mmejiandaa Kwa namna hii inaonesha ni Kwa namna gani hamna uwezo wa kushinda na tayari mmejiandaa kushindwa
  5. Sudysoko

    GE2020 Takwimu hazidanganyi: CCM wameshashinda Uchaguzi kwa Idadi ya Kura za Kanda ya Ziwa

    Magufuli wa CCM anakubalika sana kanda ya ziwa yote ndio maana hata mtoto mdogo ukimuuliza anajua John Pombe Magufuli ni nani Hii inaonesha kabisa ni namna gani Mgombea huyu anakubalika Kwa jamii ya kanda ya ziwa
  6. Sudysoko

    GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    Kura au Kula maana kama ni kura tayari moja Kwa moja inafahamika atapigiwa Dkt Magufuli so Lissu maybe apate kula kwake
  7. Sudysoko

    GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Umekosa kabisa kazi ya kufanya maana 2020 Watanzania tunaenda kumchagua tena Dr Magufuli ili amalize maendeleo Kwa watanzania
  8. Sudysoko

    Magufuli ana shida gani na wanawake?

    Atachaguliwa tena Kwa kura nyingi sana kaa Kwa kutulia utaona
  9. Sudysoko

    GE2020 Mama Maria Nyerere: Nimelazimishwa kuja kuongea, niliwaambia nimekuja kuongeza wingi wa watu, Mkutano wa CCM Musoma

    Mama ana moyo wa kujitoka katika Chama cha Mapinduzi CCM Naimani kwa maneno haya Dkt Magufuli anaenda kushinda uchaguzi mkuu 2020
  10. Sudysoko

    GE2020 Rais Magufuli amnadi Patrobas Katambi, aahidi kumpa kazi nyingine Stephen Masele

    Hii ni katika kuweka sawa kura za chama cha mapinduzi
Back
Top Bottom