Recent content by SUDI OMARY

  1. S

    Kisutu: Wakurugenzi wa Rifaro wahukumiwa Jela miaka 7 kwa kuchezesha upatu. Wakiri makosa, walipa faini

    Nlishawahi kuwa member wa rifaro ila sijawahi ona ubaya wake ilikuwa ni network marketing business kama nyingine tu na bidhaa yao ilikuwa muda wa maongezi(airtime).....sielewi hapo kwenye biashara ya upatu labda kama ni nje na ile waliyokuwa wanaifanya ya rifaro
  2. S

    TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

    Yah alishawahi kufanya mchiriku/mnanda wa marehem omary omary
Back
Top Bottom