Recent content by SubTopic

  1. SubTopic

    Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Hahaha kwahiyo akizipata anaamuona bi mkubwa siyo type yake
  2. SubTopic

    Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    True mwanamke akishaolewa wengi hujisahau Sana na kuleta mazoea
  3. SubTopic

    Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Why umelia au Kuna magumu umepitia ndugu
  4. SubTopic

    Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Vipi wale wanaoongeza mke wa tatu then wa nne
  5. SubTopic

    Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Zinakera sanaa. Mi nimeandika vzr tu
  6. SubTopic

    Kwanini mke mdogo hupendwa zaidi kuliko mke mkubwa?

    Hii nimeiona hasa kwa wenzetu waliooa mke zaidi ya mmoja Yan ni Kama wanaigana hii Tania. Kuna Siri gani imejificha?. Mimi mwenyewe nimelishuhudia kwa baba yangu Yani upande wa hi mkubwa huku hatuna sauti Kama upande wa bi mdogo. Je no kwanini wanaume hupenda zaidi bi mdogo kuliko bi mkubwa?
  7. SubTopic

    Kwanini stationeries hawatumii Linux mint au Ubuntu ambazo ni virus free?

    Nadhan windows Wana la kufanya kuhusu viruses maana nalo ni janga
  8. SubTopic

    Kwanini stationeries hawatumii Linux mint au Ubuntu ambazo ni virus free?

    Issue ya virus kwenye windows inaweza sababisha ukapoteza document muhimu Sana hasa unapokuwa umezihifahi kwenye flash disk yako halafu ukaenda kuprint kwenye hizi stationeries ambazo wengi wao wanakuwa hawana strong anti virus kwa ajili ya kuprotect computers zao unajikuta baada ya kuprint...
  9. SubTopic

    Kwanini ulaji wa Mbs kwenye Laptop au desktop huwa ni mkubwa tofauti na ukitumia simu?

    Okay so issue ni updates za kwenye PC Asante kwa darasa mkuu.
  10. SubTopic

    Kwanini ulaji wa Mbs kwenye Laptop au desktop huwa ni mkubwa tofauti na ukitumia simu?

    Hii hii JF ukiifungua kwenye PC dakika chache tu unaambiwa umeshatumia 75% ya kifurushi chako yaan siyo POA kabisa
  11. SubTopic

    Kwanini ulaji wa Mbs kwenye Laptop au desktop huwa ni mkubwa tofauti na ukitumia simu?

    Hii nimejaribu Mara nyingi napotumia sim Mb huwa zinaenda kawaida tu Ila nikitumia PC( iwe laptop au desktop) Mb zinakimbia ni balaa. Sababu ya kitaalam ni ipi? Site nazotembelea ni zile zile tu Ila ulaji wa Mb kwenye PC naona ni mkubwa zaidi. Nawasilisha wakuu, karibuni kwa majibu
Back
Top Bottom