Recent content by Subira9

  1. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Assalam alaykum wakuu Nahitaji kazi yoyote halali itakayoniingizia kipato angalau kwa siku, nipo posta muda huu kwa yeyote atakayeweza kunisaidia namba za simu hizi hapa chini. 0652102313
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva. Nina leseni Class D na uzoefu wa miaka 2

    Habari wakuu, Kama kichwa kinavyosema, natafuta kazi ya udereva, umri miaka 22, uzoefu miaka 2 leseni class D, elimu kidato cha sita. Iwe udereva binafsi au biashara kwa magari madogo ya mizigo gari yoyote automatic au manual 0652102313
Back
Top Bottom