Kwanini FIlikunjombe walimdanjisha tena wakati wa kampeni na alkuwa anakubalika? nikiwaza kwamba ni mwenda zake sipati uwiano au muhusika Mtoto wa mjini? Natamani sana kujua hata kwa kiasi tu walimuhofia nini kikubwa
Sasa wao SI wana intelejensia Kali hd ya kuhisi tu kwamba mtu anataka kufanya uhalifu? Hawa Tff wanawashindwaje hd watake msaada?.....au Inafanya kazi kwa viongozi na wanachama wa Chadema tu😁😁😁😁
Mimi situkani km sijatukanwa hiyo ndiyo kanuni yangu.....ni misemo na misamiati ya kiswahili tu! Kama ulichosema siyo tusi na changu siyo tusi hivyo vijineno vyashahibiana km kucha na kidole
Nipo nakusubiri wewe ulyenzisha silaha za matusi nijifunze mapya kutoka kwako, nipo na kalamu na daftari tayari kwa kuchukua nondo mkuu! Ila me hapa nnayo ya zamani wakati askari wanavaa kaptula😀
Una husda na ukristo kama vita ya wake wenza!.... haiyaa basi wote walokufa wakristo Wala nguruwe, na makafiri. waislamu hamjapata hata mkwaruzo! Umefurahi sasa?!
Wacha wee kumbe wewe ni mpiga ramli?! ambaye siyo muoga unashindwa nini kuutangazia umma wa WaTanganyika kwamba unashiriki kwenye mauaji kwa picha na account zako halisi?! Wewe kunguru km kunguru wengine jitokeze ueleze huo ushujaa wako wa mauaji kwamba ulkuwa unazijegeja km njugu kuuwa ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.