ukiona mwalimu anaunga ccm mkono uyo anaakili kabisa na pengine ni wale walimu wa memkwa au wale vijana wa division 5 walioenda ualimu baada ya kawambwa kualibu mfumo wa elimu.
nkwel siwezi kujaribu kwa ccm kwamba magufuli anaweza badilika. kama ukawa kua na wabunge tu tumeweza jua mengi kura kwa lowasa na wabunge wa ukawa miaka zaidi ya 50 nchi imewashinda atujaribu tena kwani tuna taka viongozi saivi. na so viongozi tulowachoka katika mfumo uliochoka na mfumo uliojaa...
uyo jamaa acidanganye ukerewe chadema inakubalika kwani Jana tumefungua kampeni zetu rasimi natumefungulia muriti mkutano ulifana vibaya ataukifananisha na ufunguzi wao ccm walikosa watu kabisa isiookua wao walibeba watu kutoka kila kata na pia walianza kufarakana kutokana na waliobebwa toka...
ata mimi nimeshamuona Dr ni mnafiki kama awali alishakubali lowasa kuingia cdm ila aje na wabunge Hi ilikuaje wakati lowasa ni fisadi. pia nimeshangazwa tbc kumpa air time na kisha kupiga wimbo wa ccm mbele kwa mbele na kurudua tena mahojiano ya dr skaa tupo robo tatu ta safari aturudi. nyuma.
acha unafki kama ukawa ilikua safi wakati yupo Slaa na lipumba mbona ukujiunga. zungumzia chama chako ambacho yupo tibaijuka mil 10 za mboga au mzee wa vijisenti.
mtoa mda fanya utaft kabla ujaleta mda mh lowasa aliendelea kuelekea na kufafanua ilani ya chama baada ya pale. kisha watanzania awawezi kuchagua kupanda gari lililochoka kwa miaka zaidi ya hamsini kisa wamebadili dereva ati litakimbia
kua mkwel chambua siasa bila kuegemea upande wowote kiualisia ccm wanaofu kubwa na ndo maana uzinduzi wa kampeni zao Jana Aug 23 team ya ufunguzi walikuwepo maraisi wa awamu zote zilizopita ambacho nikitu akijawahi kutokea kipindi cha nyuma na katika uchaguzi zote.
ebu kua logical atakidogo unapojaribu kupost. kusimamisha mgombea mwenza mwanamke mtueleze ataisaidia vp Tanzania kutokana na umaskini iliyo sababishiwa na serikali iliopo madarakani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.