Hii ndio huitwa guesswork. Kwanza ni wataalam wapi hao na uchunguzi ulifanywa wapi. Ungalimaliza kusoma taarifa kuhusu urban/city driving ungalikua umeelewa ealivyosema na maana yao. Hii yako ni baseless innuendo!

Vipi kaka
Toyota Crown ni muundo wa gari la daraja la juu yaani la kifahari. Ni muundo unaolenga soko la magari kama Mercedes E class na BMW 5 series. Engine zake ni za lita zisizopungua mbili unusu au tatu, kutegemea na toleo.
Kama magari mengine ya kisasa, gari hili udai matunzo kw mda...
Basi inabidi engine ikaguliwe kama ndio yenye vibrations au ni body ndio ina udhaifu - labda baada ya ajali au bodywork hivi.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Asante kw maswali,
Gari yenyewe ni full time four wheel. Yaonekana transmission/gearbox yako yataka attention ASAP.
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
Za leo kaka,
Samahani kw kmya, pilka kiasi. Kw sasa sina sehemu ni nayo fahamu Dar ninayoweza kuelekezq; mimi mwenyewe hufanya diagnosis na ufundi. Hivi karibuni, ndani ya mwezi huu, nitakua Dar. Twaweza wasiliana kw inbox kupanga
Sent from my Infinix-X600 using Tapatalk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.