1. Kinyozi wa kiume:
sifa:
-Awe na uzoefu wa kunyoa.
-Awe msafi/ Mtanashati.
-Asiwe na jeuri mwenye kuthamini wateja.
-Kila siku hesabu ni 10,000/= + 5,000/= ya dada. Inayobakia ni yako yote.
2. Dada wa kusaidia kazi saloon (Kuosha kichwa, kuosha miguu, scrub, n.k)...