Recent content by stunnaman

  1. stunnaman

    JamiiForums Tanzania TCRA: Wasio wawakilishi wa Vyama hawaruhusiwi kushiriki vipindi vya moja kwa moja kuongelea Uchaguzi

    Kuna watu wanabweka sana wkt hawagombei kiti chochote
  2. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Wanachama bandia Wakamatwa wakielekea Makao Makuu ya CHADEMA; Waandishi wa UHURU na STAR TV wapigwa!

    Safi intelligence system ya CHADEMA, walishindwa la Dr. Hawawezi tena
  3. stunnaman

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa mabadiliko
  4. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Ewe mtanzania usipoteze kura yako kumpa Lowassa

    Mada ya hovyo kbs, ccm ndio nini, rais wa awamu ya 5 ni lowassa.
  5. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Ambacho CCM na watu wao hawajui

    Well analyzed umeeleweka lowassa mabadiliko
  6. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Barafu Dodoma kampeni za Urais kupitia UKAWA

    Lowassa ndio rais 2015 hakuna ubishi
  7. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Walioshindwa kura za maoni Kiteto waunga mkono Upinzani

    CCM ilishakufa zamani
  8. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Lowassa awadhihaki Watanzania eti TANU na CCM havijawasaidia

    Ni kweli havijatusaidia kabisaa miaka 54 nchi maskini wa kutupwa, magonjwa ya aibu kipindupundu bora tusingepata uhuru.
  9. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Tasnifu za njano5: KKKT, Lowassa, Gwajima na urais wa nchi yetu

    Ukiona mtu anatoa mada kwa matusi ujue ni dalili ya kushindwa na yeyr mwenyewe ni wa hovyo, pumba kbs sina haja ya kusoma mada za hovyo hovyo hujui unachokiongea bado mchanga kwenye siasa nyamaza huko nenda zako mzeeee
  10. stunnaman

    JamiiForums Tanzania CCM Kumbe ilikuwa ni nguvu ya Soda

    Walitangulia na baiskel ya miwa UKAWA kazi ndio inaanza rasmi
  11. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Ziara ya Mgombea Urais kwa tikeki ya CHADEMA, Edward Lowassa

    Lowassa the next president.
  12. stunnaman

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli na Mama Samiah kutogusia katiba kwenye mikutano ya kampeni, Nini tatizo?

    Tangu Magufuli afungue kampeni sijasikia akiongolea neno KATIBA Kwangu katiba ni kete muhimu sana kwa UKAWA kushinda uchaguzi wa mwaka huu, CCM hawawezi kuzungumzia katiba kamwe kwenye mikutano yao kwa sababu wanajua dhahiri walitupilia mbali katiba ya Warioba yenye kubeba matumaini ya...
Back
Top Bottom