Ni kweli ukiwa na passport za hizo nchi hauhiultaji visa kuingia US na unavyosema sijui wapopo na wabongo wangechukua uraia wa Sijui U.K au France wewe unafikiri ni mchezo kupata huo uraia kwa hizo nchi wachilia mbali uraia viza tu. na ata ukipata huwezi kuhitaji tena kwenda US maana maisha ni...
This man was for real na ni sababu ya yeye mpaka Tanzania inaheshimika huku Europe ukisema wewe ni mtanzania unaheshimika kuanzia wazungu mpaka waafrica wa nchi nyingine
Oyaaaaa! Kichaa wangu sikusomi kabisa siku hizi, mbona umekua na tabia za kishamba? Kuonea watu ovyo,unawakaba unawachukulia mazagazaga yao, unawapiga wanawake kwa wanaume hata uoga Huna.
Kwani unavuta unga siku hizi? Au Msuba?? Watu wakiongea kuhusu tabia zako unawakasirikia mara unawavizia...
Kusafiri ni elimu moja muhimu Sana binafsi naamini JK Safari zake za nchi mbalimbali zilimsaidia sana kumordernise akili ya kuweza kuishi na watu vizuri na kuweza kuchanganua mambo Kwa ufanisi #ukifanya utafiti utaona hilo#
Putin mwenyewe ni mbabe na ana jeshi la kisasa lenye nguvu ila anaheshimu nguvu ya umma watu wanaandamana kumpinga na haamrishi wanajeshi kuwaua sababu anajua akifanya hivyo ndio ameharibu sembuse nyie vikaragosi tulieni muone 26/4....#kama mnafikiri ni utani#
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.