Mzee warioba yuko sahihi kabisa, yeye ndiye aliekuwa mwenyekiti wa iliyokuwa tume ya mabadiliko ya katiba, wajumbe wa chama chako baada ya kujadili rasimu aliyoileta bungeni kwa hoja, wao wamekuwa wakimshambulia jaji warioba direct tena kwa kashfa na matusi huku wakielewa kabisa wanafanya...