Recent content by street_child

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Makadirio ya ujenzi wa nyumba hii

    Mkuu nitakucheki tujadili kazi, asante
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Makadirio ya ujenzi wa nyumba hii

    Aisee nii ameifanya Architecture mmoja jamaa makini sana aisee, nitaweza kukuunganisha nae mkuu. Ni mtu safi sana kiukweli.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Makadirio ya ujenzi wa nyumba hii

    Nimepokea ushauri mkuu, nitalitafakari ilo
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kujenga Kigamboni, ushauri tafadhali

    Maeneo ya cheka kuna viwanja, 3km from the main road
  5. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Makadirio ya ujenzi wa nyumba hii

    Habarini wanandugu, nataka kuingia kwenye ujenzi ila kwa kuanza na nyumba ndogo kwanza ya chumba kimoja na sebule, kisha nihamie ndo nianze kujenga nyumba kubwa. Plot ipo kigamboni na ni tambarare kabisa. Naangalia pia fundi wa kufanya nae ujenzi huu. Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom