Recent content by Street Pastor_

  1. S

    JamiiForums Tanzania NHIF wabadilike kulingana na dunia inavyokwenda, wafanye kazi kidigitali na waachane na karatasi

    Mpaka leo sielewi ni nini kinafanya NHIF kuwa nyuma hasa wakati huu wa maendeleo ya kidigiti, ukienda hospitali unakutana na uhakiki wa kadi, kisha kuna lile karatasi kubwa km la kuandikia barua ya posa la nini wakati zama hizi ni zama za kidigiti uhakiki wa kdi ulipaswa kufanyika kidigiti na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo na uchumi imara na jumuishi kwa walemavu miaka 10 ijayo

    Masahihisho: sio walemavu bali ni wenye ulemavu au watu wenye ulemavu
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hakuna Jambo Baya, Tafuta Jambo Chanya kwenye Hasi

    Hakuna Jambo Baya, Tafuta Jambo Chanya kwenye Hasi Katika maisha ya watu hapa duniani kuna nyakati nyingi sana ambazo zinakuja kwenye maisha, nyakati hizi zimegawanyika katika namna kuu tatu, kwanza ni nyakati hasi, pili ni nyakati chanya na tatu ni nyakati ambazo zipo katikati yaani sio chanya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunapaswa kukabiliana na athari za Ubebaji Mabegi Mazito kwa Wanafunzi wadogo

    Tunapaswa kukabiliana na athari za Ubebaji Mabegi Mazito kwa Wanafunzi Wadogo Utangulizi Moja kati ya mambo muhimu ya kuzingatia kwa wanafunzi ili kuwa na utimamu ni pamoja na afya zao, ikiwa ni pamoja na pande zote akili pamoja na mwili. Wanafunzi wengi hasa wadogo wameonekaana wakibeba mabegi...
Back
Top Bottom