Recent content by strange

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuwa makini na wizara ya elimu na wizara ya fedha hali si nzuri

    Naanza kwa kuweka wazi kwamba mimi ni team Magufuli na napenda maono ya rais Magufuli kwani ana nia njema na nchi yetu. Ni kupitia uongozi wa rais Magufuli leo Tanzania imekua na usawa wa kweli kwenye nyanja nyingi kama kiuchumi, kisiasa na kijamii. Licha ya mazuri yanayofanywa na rais Magufuli...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete upo? Tuna mwezi wa tatu sasa hatuna maji Chalinze

    Nina imani kubwa juu ya uwezo wa mwenyekiti wa CCM wa sasa na pia ninaimani hili litafanyiwa kazi na hatimaye tatizo hili la baadhi ya wabunge kutoka CCM kuishi Dar es Salaam badala ya majimboni litakomeshwa. Riz1 Kikwete Mbunge wa chalinze ni miongoni mwa wabunge wenye tabia hizi ambaye tangu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete upo? Tuna mwezi wa tatu sasa hatuna maji Chalinze

    Kweli hali ya maji chalinze ni mbaya sana huku yeye akiendelea kuishi mikocheni
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete upo? Tuna mwezi wa tatu sasa hatuna maji Chalinze

    Mode hii tabia yakuunga mada hata kama zinafanana ila kama zimetolewa muda mrefu inapoteza maana,mmeunganisha mada yangu kwenye habari ilitolewa mwezi wa pili sidhani kama ni sawa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete upo? Tuna mwezi wa tatu sasa hatuna maji Chalinze

    Salaam. Nimeona ni vema niwasiliane na wahusika akiwemo mbuge Chalinze,waziri wa maji na mamlaka ya maji Chalinze(CHALIWASA) ili kuwakumbusha majukumu yao kwa wananchi walioamua kuwatumikia kwa matakwa yao wenyewe. Pia nikiwa na imani wanajukwaa watatoa ushauri juu ya hii kadhia ya shida ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Walifikiri ulikua mzaha,sasa wanakuelewa uliposema hata soda ukichanganya na gongo utalewa tu

    "Wale watakao thubutu kuweka chumvi na pilipili kwenye muungano lazima watakula wenyewe.Nitahakikisha ninaulinda muungano kwa nguvu zangu zote".JPM
  7. S

    JamiiForums Tanzania Milioni 50 kila kijiji, laptop kila mwalimu na elimu ya bure kipimo cha kwanza kwa Magufuli

    Naamini kwakua mh raisi amekiri hali ya sasa ya ugumu wa kupata fedha anahisi kuna raia wameficha fedha lakini hili jambo linahitaji suluhu mapema kwani ni mbaya sana mtaani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hata Mwalimu naye alikuwa dikteta?

    Hii sio mara ya kwanza kwa Tundu Lisu kutoa kauli zenye utata kwa Mwalimu na kimsingi anapaswa kuchunga kauli zake
  9. S

    JamiiForums Tanzania TCRA zaidi ya kutazama viongozi dhidi ya matumizi mabovu ya mitandao, watazameni na raia wa kawaida

    Ni vema sasa tukawaambia ili mjue kwamba hizi sheria za mitandao hazikutungwa ili kuwalinda viongozi,ni imani yangu sheria hizi zimetungwa ili kuwalinda watanzania wote bila kujali nyazifa na itikadi ya vyama. Mara baada ya tukio la kuuwawa kwa polisi jana kwenye jaribio la uvamizi wa bank ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA haina wazee wa Dar es Salaam?

    chadema hainaga wazee na ndio maana hua inamaamuzi ya hovyohovyo,we tizama hata ndani ya chama wengine hua wanawakosea adabu wazee,ni hawa walisema eti Dr kashikwa na mwanamke sio maamuzi yake yale.Ile haikua sawa kwani ukiachilia mbali siasa yule mwanasheria aliyetoa kauli ile ni kama kaitoa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanaolalamikia mikakati ya mwenyekiti wa CCM wakumbuke lengo la chama chochote ni kushika dola

    Uliloandika vema lakini litakosa maana kama dola italazimishwa kwa kutozingatia sheria
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Juzi niliandika thread hapa jamvini yenye kichwa cha habari kisemacho: Waziri Nape, hizi kelele za kulipishwa vifurushi kutizama local channel kwenye ving'amuzi huzisikii?. JamiiForums wakamtafuta Waziri Nape naye akaahidi kulifanyia kazi. Itakumbukwa kwamba channel zote za ndani ziliondoka...
  13. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, Startimes wamewazidi nguvu au mna maslahi nao?

    Hivi unatutolea pesa?Si bora ingeachwa tu analojia!
  14. S

    JamiiForums Tanzania TCRA, Startimes wamewazidi nguvu au mna maslahi nao?

    Labda nitakua sielewi vizuri lakini ninachofahamu TBC wana hisa startimes na TBC ni shirika letu la uma ambalo lipo chini ya Nape,lakini pia ni kweli TCRA ndio mdau wa ving'amuzi vyote,shida si Nape sisi tunachotaka ni kuona channel za nyumbani bure
  15. S

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya Kijasusi kutoka Uingereza kuhusu uchunguzi wa mtoto wa mgombea Urais Mtarajiwa ....

    Daaa Huyu lowasa kumpokea anakiweka chama rehani
Back
Top Bottom