Recent content by story love

  1. story love

    Ratiba ya Kiume (Daily Discipline)

    🕔 5:00 – 6:00 AM – Amka mapema Salat (kama unaswali) Omba au tafakari Tengeneza kitanda Maji ya uvuguvugu, limao au mazoezi ya kuvuta pumzi 🕕 6:00 – 7:00 AM – Mazoezi ya mwili Cardio / Pushups / Jogging Stretching Kuoga baridi (inaongeza testosterone) 🕖 7:00 – 8:00 AM – Chakula cha asubuhi...
  2. story love

    Kijana anaomba Ushauri kuhusu husiano lake na binti huyu wa Saudia. Mnamshaurije?

    🤣🤣🤣🤣🤣 Sasa huyu mwanamke unamuona aje na unanishauri aje boss
  3. story love

    Kijana anaomba Ushauri kuhusu husiano lake na binti huyu wa Saudia. Mnamshaurije?

    Hapan mjomba hebu tazama vizuri sijamanisha kulilia pesa yake hebu soma vizuri
  4. story love

    Kijana anaomba Ushauri kuhusu husiano lake na binti huyu wa Saudia. Mnamshaurije?

    Nimeomba ushauri ndugu yangu kuhus mahusiono hayo
  5. story love

    Mapenzi! mapenzi! mapenzi! Nimetamka mara tatu. Sasa ole wako kijana! kabla hayajakukuta pitia hapa

    Kulikuwa na kijana mmoja, mnyenyekevu, mwenye moyo wa upendo na kujali. Alikutana na mwanamke ambaye alikuwa akifanya kazi Saudia. Kwa maneno mwanamke huyo alikuwa na mapenzi ya dhati kwake – alimuita majina mazuri, aliweka jina lake kwenye Facebook, akamfanya ajihisi kuwa mtu muhimu sana...
  6. story love

    Usitumie muda wako sana kwenye mapenzi, watu wana watu wao

    Vp Sasa mimi nishauri kidogo kama mdogo wako hiyi ni story yangu ya mahusiano hivi sasa Kulikuwa na kijana mmoja, mnyenyekevu, mwenye moyo wa upendo na kujali. Alikutana na mwanamke ambaye alikuwa akifanya kazi Saudia. Kwa maneno mwanamke huyo alikuwa na mapenzi ya dhati kwake – alimuita majina...
  7. story love

    Kijana anaomba Ushauri kuhusu husiano lake na binti huyu wa Saudia. Mnamshaurije?

    Kulikuwa na kijana mmoja mnyenyekevu mwenye moyo wa upendo na kujali. Alikutana na mwanamke aliyekuwa akifanya kazi Saudia. Kwa maneno, mwanamke huyo alionekana kumpenda kwa dhati. Alimuita majina mazuri, akaweka jina lake kwenye Facebook na kumfanya ajihisi mtu wa thamani sana maishani mwake...
Back
Top Bottom