Recent content by Stone killer

  1. S

    Watu kadhaa wakitoa ushuhuda mbaya muda wa kungonoka

    Daaah mnajifanya saints kama hamfanyag mapenz hv
  2. S

    Watu kadhaa wakitoa ushuhuda mbaya muda wa kungonoka

    Hivi ushawahi kutana na tukio la kibabe mda wa kufanya mapenz I ,,,,hebu tiririka hapa tupeane story
  3. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Sio porini bob mk so porini , ila Kuna maeneo huwa tunaenda kufanya biashara Kuna hvo visanga, Kuna wazee. Makundi mengine.....
  4. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Wamepandisha Bei vyote.........Kaka Kuna baadhi ya maeneo huduma za miamala shida sana, Kuna maeneo mitandaon imeshika, hivi ujue Kuna maeneo hupati halopesa,tigopesa au Airtel money...ni lazma ununue vocha mwaisa
  5. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Kaka Kuna baadhi ya maeneo huduma za miamala shida sana, Kuna maeneo mitandaon imeshika, hivi ujue Kuna maeneo hupati halopesa,tigopesa au Airtel money...ni lazma ununue vocha mwaisa
  6. S

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Habari wanajamvi, Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20, This is daylight robbery and no one care. Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
  7. S

    Usimuulize nikufanyie nini ili uridhike, utaumbuka. Piga mzigo uwezavyo

    Huku tuliita hivi sabab ya barid....pia kitambo hko mgahawa maarufu uliitwa hvo
  8. S

    Usimuulize nikufanyie nini ili uridhike, utaumbuka. Piga mzigo uwezavyo

    Sawa mtaalam wa hivi vitu......kumbe vijiti vinachangia au maana so unyama
Back
Top Bottom