Habar zenu ndugu, naomba kuuliza kama ss wa diploma ya ualimu wa sayansi na hisabati udom wameshaanza kupewa mkopo au bado? kwasababu najarbu kuangalia akaunt yngu heslb ila sio tarfa yoyote kama nmepata au cjapata mkopo.
kaka naomba niulize je, wale walioaply diploma ya ualimu masomo ya sayansi na hisabati UDOM washaanza kupewa mkopo au bado? coz mm nili apply lakin kwenye akaunti ya heslb sion tarfa yoyote kama nmepata au nmekosa.Namba yngu ni S0111.0021.2009
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.