Recent content by STEVEN PONERA

  1. S

    Nitajuaje gari inachemsha?

    Kuna kama kidumu hivi cha kuwekea hiyo coolant (wengi wanaweka maji),kuna mshale wa maximum inabidi iwepo ili usione inapungua kwenye mfuniko ukifungua. Kama maji(coolant) ipo yakutosha basi angalia kama radiator inavuja mahali au fan kama inafanya kazi. If vyote viko poa basi inabd...
  2. S

    Nitajuaje gari inachemsha?

    Kwenye coolant storage ,level yake ipo maximum? kabla hujaangalia kwenye mfuniko unaowekea coolant. Na je ndani mshale unapanda?
  3. S

    Kucheleweshwa kufunguliwa vyuo vya nje kwa sababu ya Corona

    Masomo kwa international students still bado ni online Face to face walisema labda huu mwez March kama hali itakua sawa
  4. S

    University Admission Results 2020

    Habari! Hivi kuna vyuo ambavyo bado havijatoa 3rd selection?
Back
Top Bottom