Wadau kwema nijuzeni
Hivi ni wapi Mwanza jijini naweza kupata viungo vya pilau na chai kwa bei ya jumla? Pia ubuyu wa mbegu, vipande na mifuko ya jumla jumla kwa bei nafuu? Nijuzeni tafadhali kupitia namba ya whattssapp 0624726872
Natanguliza shukurani zangu za dhati ahsanteni sana.
Kwema wadau mke wangu aliondoka kitambo nahitaji arudi au huko alikopanga awe mke wangu wa pili najua akija zalishwa na wengine nitaumia mara mbili yake kumbukeni niliumia sana kipindi aliondoka nimekuja kuzoea baada ya mwaka nisaidieni jamani kwa ajuaye nimeona ndoa ni sehemu ya kupambana na...
Kweli inabidi nifanye hivyo, ila sasa walionitoka wote walikuwa washika dawa, wanaota hadi ndoto za kuchukuliwa kwenda kwa wachawi baadae wanarudishwa mimi waliniona story hizo haswa yule mke wangu wa kwanza ninapokuwa nae usingizini anaweza kuwa kama kapanda mizimu anakuambia huyo anabisha hodi...
Wadau habarini,
Mimi nilioa mke akafuata ya Dunia starehe nilimtoa kijijini alitoka na vitu ving ikiwemo mimi kupata hasara na kuathirika kisaikolojia kwa muda mrefu. Nilirudi nyuma kimaendeleo.
Nimekaa miaka miwili kamili nikapata mwenza mwingine na kuamua kumwoa.
Mwenza huyu wa pili yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.