Recent content by Steven Iseme Hitra

  1. Steven Iseme Hitra

    Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Huyu jamaa ni mzoefu na wizi aiseee tabia hii Manenja wa mabenki wawe nayo makini
  2. Steven Iseme Hitra

    Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

    me msukuma halisi wa shinyanga
  3. Steven Iseme Hitra

    Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

    wasukuma tambiko kila kabila wanalo. kwa mapacha lazima wafanye tambiko na huku nkwetu shinyanga hata mtu akijifungua mtto katanguliza matako tunafanya tambiko ndio mila zetu msidaganye watu
Back
Top Bottom