mi nadhan nacte hawako makin maana kuna vyuo vng vya ajab vpo chini yao.....nakumbuka wanafunz wa st.joseph walipeleka barua kutoa taarifa za ubovu wa elimu wanayopewa lakin cha ajab hawajawajbka,,,majengo ya mabat library iko workshop kelele tupu mwaka jana library ilikua haina ceiling board...
hello,ijumaa radio uhuru wametangaza vyuo vya st.joseph college of engineering and technology tanzania,zambia,malawi na sierra lone vinachuzwa kutokana na ubovu wake,cha zambia kimefungwa kinaitwa st.uegene university..ki ukweli pale hakuna elimu ya juu..watu wana division four wanasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.