Recent content by Stephen Chafu

  1. S

    Benki zaanza kuwakamua Watanzania kwa kuongeza kodi (VAT) ya 18%

    Hii %18 ya ongezeko kama VAT inakuwaje vile? Kama kuna anaeweza kunielewesha kwa uzuri, maana taarifa ya habari nina zaidi ya mwezi sijasikia wala kuangalia samahani kwa usumbufu jamani
  2. S

    Waziri Mkuu apiga marufuku matumizi ya Shisha nchini

    Duh hii hata mimi kwangu ngeni yaani siijui kabisa
  3. S

    Msaada

    Naomba kujua kama naweza kusoma mpaka kufanya mtihani wa kidato cha nne kwenye mtandao Tafadhali.
Back
Top Bottom