Lazma watu wafahamu us anaenda korea kwa dhumuni la kuhakikisha korea kusini apati matatizo maana imekuwa kawaida NK kujaribu makombora yake kwenye bhari ya SK .NK imekuwa ikitishia sana usalama wa south krea kila mara sasa us hawakubali mshirika wake wa biashara na mambo mengine ateseke.kila...
Naunga mkono ombi lako kwa ambao tunapenda kusikiliza michezo hasa clouds tunaona kabisa jinsi gani pamepwaya hasa sehem ya lwambano.kukosea kupo wafikirie zaidi ili kufanya kipindi chao kivutie zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.