Do you know how to buy and hold digital currency. Especially small one like flash, digbyte, reddcoin and the like! Inform me at mulungustephano@gmail.com
Hapo kweli... Kwasababu wakati mwingine wazo LA mtu nivigumu kuliwekwzea inavyo takiwa ukpata mtu mwenye wazo zuri ongea nae I like muwekeze wote na muilinde vision... Think bigger.. Ecommerce for long term pays.... Million 15 ni pesa kubwa invest it for long term.
Kweli uzoefu sio neno zuri Sana kwenye hi karne ya 21..maana mambo yanabadilika haraka mno... Ukiweza invest kwenye ecommerce hi ni for midterm - long term.
Kama unafikiri kuanzisha biashara ni muhim kujiua biashara ni system na Kuna watu muhim utahitaji kuwa nao.. Na Watu muhim ni mwanasharia, accountant. Pia lazima ujue kuwa kila business Zina sheria zake na zinatofautiana viwango vya kodi.. Business is the system.
Kopa af endelea na kazi wakati ukiendelea kuijenga business yako part time. Mpaka uwe na cash flow ndio uache kazi. Maana utakua umesha Pata mwajili mpya (biashara)
I'm just looking for serious people who are willing to invest for long term.... Biashara sio kuuza na kununua.. Biashara ni system inayotengenezwa na kutengeneza pesa 24/7..email me at mulungustephano@gmail.com or Skype me at +255767549752.
Kuna tofauti kubwa Kati ya kuanzisha biashara na kujiajiri..
Watu wengi wamekua wakijiajiri na kuzani ni wafanya biashara... Kuunda biashara ni kazi ya muda mrefu na inahitaji umakini katikakuunda timu,mfanya biashara lazima uwe na system ambayo inawezesha pesa kuzalisha pesa..
Vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.