Recent content by Stephano Mgendanyi

  1. Stephano Mgendanyi

    PostGE2025 Naibu Waziri Wanu aagiza kozi fupi zilizositishwa VETA zirejeshwe

    NW WANU ASISITIZA VETA KUWEKEZA KATIKA TEHAMA, AKILI UNDE NA ROBOTI ILI KUKUZA UCHUMI KIDIGITALI Wilaya ya Chemba yapokea Shilingi Bilioni 1.83 Sekta ya Elimu kutoka Serikalini Naibu Waziri Wanu Ameir azindua ugawaji wa vifaa vya Mafunzo ya Ubunifu, Ushonaji, Teknolojia ya Nguo na Umeme kwa...
  2. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    𝗦𝗜𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗪𝗔𝗡𝗬𝗢𝗡𝗚𝗘, 𝗡𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗜𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗝𝗘𝗡𝗚𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗧𝗨𝗡𝗔𝗬𝗢𝗜𝗧𝗔𝗞𝗔 - 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 "𝙉𝙖𝙬𝙖𝙨𝙝𝙪𝙠𝙪𝙧𝙪 𝙨𝙖𝙣𝙖 𝙬𝙖𝙣𝙖𝙣𝙘𝙝𝙞 𝙬𝙖 𝙄𝙧𝙞𝙣𝙜𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙤 , 𝙪𝙠𝙖𝙧𝙞𝙢𝙪 𝙣𝙖 𝙢𝙬𝙞𝙩𝙞𝙠𝙞𝙤 𝙬𝙚𝙣𝙪 𝙢𝙠𝙪𝙗𝙬𝙖 𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙣𝙞𝙥𝙤𝙠𝙚𝙖, 𝙖𝙨𝙖𝙣𝙩𝙚𝙣𝙞 𝙨𝙖𝙣𝙖" "..𝙈𝙞𝙢𝙞 𝙨𝙞𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙞 𝙬𝙖𝙣𝙮𝙤𝙣𝙜𝙚, 𝙣𝙖𝙤𝙣𝙜𝙤𝙯𝙖 𝙬𝙖𝙩𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖𝙟𝙚𝙣𝙜𝙚𝙖 𝙏𝙖𝙣𝙯𝙖𝙣𝙞𝙖 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙮𝙤𝙞𝙩𝙖𝙠𝙖.." "..𝙢𝙖𝙢𝙗𝙤...
  3. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Mafinga wamuhakikishia Samia Suluhu kuzima zote na kuwasha kijani

    Uliwasomba wewe? Sasa ulikuwepo wakati wanasombwa?
  4. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Mafinga wamuhakikishia Samia Suluhu kuzima zote na kuwasha kijani

    𝗠𝗔𝗙𝗜𝗡𝗚𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗨𝗛𝗔𝗞𝗜𝗞𝗜𝗦𝗛𝗜𝗔 𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗠𝗔 𝗭𝗢𝗧𝗘 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗔𝗡𝗜 #TeamShukrani - 𝙈𝙖𝙛𝙞𝙜𝙖 𝙢𝙖𝙩𝙖𝙩𝙪 𝙠𝙪𝙠𝙖𝙢𝙞𝙡𝙞𝙨𝙝𝙬𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙫𝙞𝙩𝙚𝙣𝙙𝙤. Maelfu ya wananchi wa Mafinga mkoani Iringa wamejitokeza kwa makundi mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, machifu, wazee wa kimira, wanawake na wanaume wajasiriamali...
  5. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Samia Suluhu atoa muelekeo chanya kwa wananchi wa Makambako

    𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗗𝗞𝗧. 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗧𝗢𝗔 𝗠𝗨𝗘𝗟𝗘𝗞𝗘𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗠𝗕𝗔𝗞𝗢 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 akizungumza na maelfu ya wananchi wa Makambako mkoani Njombe mapema asubuhi ya leo tarehe 6 Septemba 2025...
  6. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Dkt. Samia kujenga vituo 50 vya kuhifadhi parachichi

    DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mbeya kuwa Serikali imejikita katika kuleta maendeleo ya kweli kwa wananchi, kwa kuwekeza katika...
  7. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Dkt Samia: Nawaomba Wanambeya twende tukapigie kura Chama cha Mapinduzi

    TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya Kwenye Video ni...
  8. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Wanu Hafidh Ameir mgombea sahihi jimbo la Makunduchi, Zanzibar

    WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu Hafidh Ameir kama mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi katika kipindi hiki ambacho kuna miradi...
  9. Stephano Mgendanyi

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI

    SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI 📌 Vibali vya ujenzi wa vituo vya CNG kutolewa haraka ili kuvutia wawekezaji. 📌 Taasisi za kifedha zashauriwa kutoa mikopo kwa wawekezaji kwenye sekta ya gesi 📌 Kituo cha Puma Tegeta kuwa kituo kikubwa zaidi...
  10. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    Siku 100 za Kwanza za Dkt. Samia Suluhu Hassan Atakapoingia Madarakani 2025 - 2030 Ahadi alizosema Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Tanganyika Packers Jijini...
  11. Stephano Mgendanyi

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  12. Stephano Mgendanyi

    Bandari yahudumia tani milioni 32 kutoka tani milioni 18

    BANDARI YAHUDUMIA TANI MILIONI 32 KUTOKA TANI MILIONI 18 Kufuatia maboresho, Bandari ya Dar es Salaam imehudumia tani milioni 32 kutoka milioni 18 mwaka 2021. Hayo yameelezwa Agosti 26, 2025 wakati wa kikao cha wadau wa Kamati ya Maboresho ya Bandari, kilichoendeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara...
  13. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Masache Kasaka achukua fomu INEC ya ubunge jimbo la Lupa

    MASACHE KASAKA ACHUKUA FOMU INEC YA UBUNGE JIMBO LA LUPA MGOMBEA wa Kiti cha Ubunge wa Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya Kwa tiketi ya CCM Ndg. Masache Njelu Kasaka leo tarehe 25/8/2025 amechukua fomu za uteuzi wa Wagombea Kiti cha Ubunge Jimbo la Lupa, Wilaya ya Chunya kutoka Kwa Msimamizi Mkuu...
  14. Stephano Mgendanyi

    GE2025 Adv. Stephane Byabato ampigia chapuo wananchi Eng. Mutasingwa, Ubunge Bukoba Mjini

    ADV. STEPHEN BYABATO AMPIGIA CHAPUO KWA WANANCHI ENG. MUTASINGWA, UBUNGE BUKOBA MJINI Salaam sana ndugu zangu Naomba tusambaze ujumbe huu Leo jumatatu ni siku ya tatu tangu Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iteue wagombea Ubunge na Bukoba Mjini ikatuletea ndugu yetu Eng Johnston Johansen...
  15. Stephano Mgendanyi

    Tanzania kuwa kinara wa utoaji wa huduma za kimaabara Afrika Mashariki na kati

    TANZANIA KUWA KINARA WA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIMAABARA AFRIKA MASHARIKI NA KATI ▪️Waziri Mavunde aweka jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Maabara ya kisasa ▪️Ni maabara kubwa ya uchunguzi wa sampuli za madini Afrika Mashariki ▪️Kugharimu Tsh Bilioni 14.3 ▪️Rais Samia atajwa kinara wa mageuzi sekta...
Back
Top Bottom