Recent content by Stella wa bunju

  1. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

    Nakushuru waziri mkuu,kwa kunitafuta..., Naamini hatua zitachukuliwa
  2. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

    Wachunguzi watakuja na majibu hayo, kwa Sasa kwenu mtaona Ni tuhuma kwangu sio tuhuma Ni kitu kilichotokea. Otherwise huruhusiwi,kucrash Kama huna sababu za kufanya hivyo. jF NI JUKWAA HURU LA KUTOA MAONI
  3. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

    Nimejiunga purposely kwa issue hii, naamini hapa Ni sehemu salama,sitajulikana lakini pia ,msaada utaonekana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

    Wanafahamu,Ila msaada Nina Imani utapatikana hapa kwa Mello
  5. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali mchukulieni hatua Mhasibu wa Machame Sekondari, anayoyafanya anawachafua, anatembea na wanafunzi

    Mhasibu wa Machame Sekondari jirekebishe au serikali ingilieni kati Mimi ni mwanafunzi nimemaliza hapo mwaka huu Mhasibu huyu amekuwa akinitongoza kwa muda mrefu Sana, nimetoa taarifa kwa walimu hawajanipa msaada, nimetoa taarifa ya maandishi kwa Mkuu hakuna msaada. Ninaomba wanajukwaa na...
Back
Top Bottom