Sijampa mimba. Namba anaijua kwa sababu mchana yake tulisalimiana kwa SMS. Ila mida ya jioni nikapiga ndo baba akapokea.
Sent from my Infinix HOT 4 using JamiiForums mobile app
Mkuu, huyo mtoto namba zangu alishazijua. Kwa hio nilivyopiga hakupokea baba akapokea. Akauliza nan? Nikajua labda ni mpenzi wake. Nikakata. Akanipigia baadae kwa namba nyingine akaanza kusema wewe ndo unamuharibu mtoto wangu. Akapiga kelele akakata simu. Nahisi mtoto wake alinitaja ni Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.