Recent content by Star_nley

  1. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Unachoongea ni kweli lakini jua kabisa sio watu wote ni Matapeli, Nimechanganua vizuri sana, nimefanikuwa kuwa na vitendea kazi na bahati ya kuwa sehemu nzuri ya mzunguko wa Biashara ila nimekosa mtaji. Kupata mtaji sio ishu lelemama, mawakala wangapi unatAka toa pesa nyingi anakwambia sina...
  2. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Kikubwa ni Kuweka Mtaji wa kutosha na mitando na mabank makubwa yote uwe nayo. Pia location ya Biashara iwe iliyochangamka. Mimi bado nafanya ila mtAji ndo sina. Kuna siku zingine zinachangamka unahudumia wateja hadi unawKimbia ilimladi ukale kwanza chakula. LOCATION*MTAJI*EXPERIENCE
  3. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Kwa mwanzo inaweza ikaanza hata milioni 2 hadi 3, jinsi unavyoendelea kufanya inakuwa inapanda kwasababu wateja wAkishaju wakala una mTAJI wa kutosha waanza kufanya biashara na wewe hivyo inaendelea kupanda kwa kasi hapo ukiachana na wale wanaopita njia. Pia kipindi cha misimu ya ada za shule na...
  4. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Habari, kaka mkubwa, ni kweli unachosema.. ila kwanza ni uaminifu pili ile frame ya nyumbani ya kwangu na ni nyumbani kabisa na cha mwisho ni bima ya biashara. Pia mwekezaji yoyote hawezi kuweka pesa bila kufanya uchunguzi kwa kina.
  5. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Inategemea na Nguvu ya mwekezaji hii biashara inahitaji kadili unavoweka pesa kubwa na faida inapanda zaidi ila kuanzia milioni 10 kwenda juu hivi ndo vizuri zaidi lakini maongezi yapo kama itakuwa ni kuweka kwa awamu
  6. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    0768 828082 Dar es Salaam
  7. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Kinachomata mda ambao utatumia kupata bank zote hizo nilizoziorodhesha, location nzuri ya biashara na mtu mwenye experience sio unatapeliwa mtaji mzima
  8. S

    Natafuta Mwekezaji katika biashara yangu

    Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018. Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, HaloPesa na Azam Pesa Pia miamala ya Bank kama; CRDB, NBC, NMB, TCB, UBA, ACB, AMANA...
Back
Top Bottom