Recent content by star40

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dar: Mamba auliwa maeneo ya Kinondoni - Morocco eneo la THT zamani

    uwii eneo hili nilikuwa nafanya zoezi wiki mbili zilizopita kabla ya kujifungua daah sipati picha ningekutana nae mweeh.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Customer care - TTCL

    Asante kwa taarifa luc God blec u,safari hi hawajatoa majina ya intervw kwenye gazet?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ttcl

    any news ndungu?hawa watu mbona hawaiti sasa au ndo watu wao wameshawaweka mweeeh
  4. S

    JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa Kazi

    anatutusi huyu na atakosa kwel shauri Yake,GPA bongoo ha ha ha aje tu soko la ajira aone yanayojiri na gpa yake
  5. S

    JamiiForums Tanzania Thatcher fund na utapeli wao

    utaibiwa shauri zako,izo kazi za kuanza interview tu na pesa uzushi ooh
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi nzuri! Kazi nzuri ni ushapu wako tu kujiboreshea mazingira!!!!!!!

    pole sana lara MUNGU akusaidie upone haraka.kiukwel post zako zinanisadia sana toka ile uliyosemaga tupeleke cv zetu kwenye recruitment,yaani uliniamsha ucngzni na nikaenda na nimepata kazi,japo ni ngum mpaka jasho la meno linitoka na naogopa nicje umwa maskio bure,ila ciachi mpaka nipate...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ttcl

    mmh wiki iliyopita nimepita pale headofice nikaambiwa bado labda wik hii ndo wataita.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu TTCL customer care

    pole lzaack kwa kuona nimekusumbua ila wapo watakao ona cjawasumbua watakuja nijibu kwangu mi inaumuhimu kujua ndio maana nimeuliza.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu TTCL customer care

    haya asante kwa kunirekebisha ndugu Mimi bado cjapigiwa Cm nilikuwa nauliza kama kuna mtu amepigiwa cm kwenda kufanya interview zile post za customer care ttcl?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi kuhusu TTCL customer care

    Jamani kuna mwenye kupigiwa cm TTCL zile kazi za customer care kwenda kwenye interview?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Postal Bank job vacancies..

    tuambia na wenzako ni kazi gani izo?
Back
Top Bottom