Recent content by star health talks

  1. S

    Ukithiri wa tatizo la ukatili wa kijinsia Mkoani Tabora

    Habari ndugu zangu, katika pita pita za mahangaiko ya hapa na pale, nimebahatika kupita mikoa mbali mbali hapa Nchini kwetu Tanzania. Mwaka juzi nikajikuta nimetua kwenye mkoa wa Wanyamwezi-Tabora, pamoja na sifa na changamoto kedekede nilizosimuliwa kuhusu mkoa huu jambo la kwanza...
  2. S

    Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  3. S

    Michubuko njia ya haja kubwa

    Pole sana kwa hii changamoto, Kwa dalili ulizozieleza utakuwa na ugonjwa unaitwa Anal Fissure ( michubuko/mipasuko katika njia ya haja kubwa) uwezekano wa kuwa una bawasili ( Haemorrhoids ) ni mdogo sana Matibabu ya kuanza nayo sasa; 1. Hakikisha haupati choo kigumu kabisa, utafanikiwa kwa...
  4. S

    Maziwa ya Mama anaenyonyesha Kukata ghafla.

    Pole kwa hii changamoto, what i can advise you is rest, kula vizuri, kunywa maji ya kutosha, endelea kumuweka mtoto kwenye titi/nyonyo mara kwa mara inasaidia sana kustimulate maziwa yatoke, it may take a while but yanaweza kuanza kutoka tena Hopefully this will help
  5. S

    Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    From a medical perspective this is a purely mental illness, inabidi aonane na Daktari bingwa wa magonjwa ya Akili -Psychiatrist, madaktari hawa hutowapata kila hospitali, wapo hospitali kubwa mfano Muhimbili, Mlonganzila, Benjamin Mkapa, sio hizi hospitali ndogo ndogo, kutokana na maelezo yako...
  6. S

    Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    naomba kueleweshwa alternatives unazozihubiri wewe
  7. S

    Tatizo la Presha kuwa juu/ shinikizo kubwa la damu

    Tatizo la Presha kuwa juu Ugonjwa wa presha kuwa juu ni miongoni mwa magonjwa yanayowakumba watu wengi kwa sasa katika jamii. Kutokuwa na elimu sahihi ya ugonnjwa huu pamoja na kuwa na imani potofu juu ya ugonjwa huu inachangia wingi wa tatizo hili, imani potofu na elimu duni ya ugonnjwa...
  8. S

    Janga la Malaria, Typhoid na UTI

    Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani. Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
  9. S

    Full blood picture ni kipimo gani? Je, nikipima kipimo cha Full blood picture kila ugonjwa mwilini mwangu utaonekana?

    kipimo hiki hakipimi ngoma, kuwa na damu nyingi kinaonesha (Hb)level, lakini pia na kuwa na damu nyingi sio kigezo cha kudonate, wachangiaji damu wote wanatoaga damu zao hivyo hivyo una ngoma, homa ya ini au hauna, wakifika maabara wanapima hizo damu zilizokuwa donated, kama haina shida yeyote...
Back
Top Bottom