Recent content by stanley stanley

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi kubadili dini kwa ajili ya ndoa?

    Habari wana jamvi, Nimefanya utafiti mdogo na kuona kuwa ni rahisi sana kumbadili dini binti wa kikristo kwa ajili ya ndoa kwenda upande wa pili ila ni vigumu sana kumbadili dini binti Wa kiislam kuhamia dini nyingine kufuata ndoa. Binti wa kiislam yupo radhi uchumba uvunjike kuliko kubadili...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka umepita tangu wife kubakwa,bado nashindwa kulala nae

    Ni takriban mwaka umepita sasa tangu majambazi walipotuvamia ndani na kumbaka mke wangu, nimeshindwa kabisa kusahau tukio hilo Nakumbuka, ilikua October last year, tarehe nimesahau, tukiwa tumelala usiku, nilistuka usingizini na kukuta tayari jamaa saba wamo chumbani kwetu wakinimulika tochi...
Back
Top Bottom