Recent content by stahaPC

  1. stahaPC

    Simulizi: Mimi na Mimi

    JC tumekumiss so much 😊
  2. stahaPC

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Bwana Elton Tonny vipi Season 3 kwenye ma group ya WhatsApp haipo?
  3. stahaPC

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    I think you misunderstood me brother, but why have I studied in the UK if it is an American university because there are no idiots?🤣
  4. stahaPC

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Duh yaani kama uliikimbia shule nakupa pole maana hii simulizi inahitaji akili kuielewa,huyu mwandishi ni balaa,tumpe maua yake🎉🎉🎉
  5. stahaPC

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Thank you so much 🤝
  6. stahaPC

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Guys please nisaidien wimbo huu,mwanaume anaimba #basi madada simameni mcheze# Na wadada wanaitikia #usijalii#
  7. stahaPC

    Simulizi: Mimi na Mimi

    Mhh 😒😒😒😒
  8. stahaPC

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Duh huku bado mpo nyuma njoo wtsp uta enjoy so much 😘
  9. stahaPC

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Hello guys,Ninatafuta wimbo wa POPO BAWA wa mwaka 2009-2010👽👽👽👽
  10. stahaPC

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Guys yaani ukilipia hadi raha hakuna usumbufu🤑🤑🤑
  11. stahaPC

    Simulizi ya kijasusi: Shetani Rudisha akili zetu na mke wangu

    Duh hata huko whatsapp siku ya tatu sijapata jibu na ujumbe ashauona,au yuko bize sana?
  12. stahaPC

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante msela kwa ushirikiano,lakini sio yenyewe🙂
  13. stahaPC

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mimi natafuta muziki wa kibongo nahisi umetoka miaka ya 2016 kama sikosei,umeibwa na mwanamke na mwanaume,kiitikio chake mwanamke anasema#mwanaume kapuku hunifai kabisa# na mwanaume ndo anaanza kuimba kama vile anamtongoza huyo demu,But sio wimbo wa Vanessa Mdee na Mwana F-A
Back
Top Bottom