Recent content by staha

  1. staha

    JamiiForums Tanzania Mwenzako akinyolewa... tia maji - kisa na mkasa kwa dada yangu... Tujadili

    Jikaze tu mama haya nayo ni sehemu ya maisha, usijione huna bahati katika ndoa yako, unatakiwa usimame imara onyesha kuwa ni mshindi, jikubali kuwa upo katika dhiki hiyo ya kipindi kichache kwani hakuna binadamu ameumbwa ili ateseke tu katika maisha yake, tafuta ujasiriamali ukisimama na maisha...
  2. staha

    JamiiForums Tanzania Im new member!

    Ahsanteni sana.
  3. staha

    JamiiForums Tanzania Im new member!

    Habari kwa wana JamiiForums wote,mimi ni mama wa makamo naombeni mnikaribishe katika jukwaa hili adhimu lenye kuelimisha kwa kila namna, kufurahisha,kuhuzunisha na hata kukuweka huru kifikra. Nawaombeni nami niwe miongoni mwa wataochangia na kuchangiwa mafanikio katika siku za maisha yetu katika...
Back
Top Bottom