Betting ni Uraibu.. Ni Uraibu unaotibika.. Sijui kama hapa kwetu vipo vituo vya kutibu watu wenye Uraibu huu..
Ila mimi nilishindwa.. Kila anayebet unamsikia Dah Man U kanichania mkeka.. Nikajitahidi kuwatafuta wanaoshinda sikuwapata.. Nikajionea ujinga huu bora hela yangu nikavutie bangi..
Mimi hapa machozi yananibubujika.. Kila nikifikiria kesho ya watoto wetu.. Nazidi kutokwa na machozi..
Tumaini lote lililoanza kujengeka limepotea kama moshi upoteavyo angani
Yaani shida ya wasiomla huyu mdudu ni kutunga uzushi kila siku.. Huyo aliyekutwa na minyoo anaitwa nani..?? Anatokea state gani huko America.. Alikuwa hospitali gani..?? Usitutishe na hekaya zako za mashariki ya kati..Yaani hata kama ni kweli amekutwa na hayo mayai ya minyoo ndio niache kula...
Nilimsoma mwanajf mmoja akisema kuwa kule tulipeleka Mwili.. Tukaambiwa huyu hatunaye.. Hatukukubali.. Pipa likaungurumishwa kuelekea Kwa mabaniani.. Walipokuwa hewani wakashauriana na kukubaliana kuwa wanajisumbua na kumsumbua na walichoambiwa pale alipokuwa amelazwa hasimu wake ndio kulikuwa...
Nitakulilia mpaka mwisho wa Uhai wangu Mwamba JPM.. Ulijaribu kutengeneza kesho ya watoto wetu.. Kabla haujamalizia ukadhulumiwa.. Nina imani kuwa atatokea kama wewe siku moja japo si katika uhai wetu ila ipo Siku atatokea..
RAHA YA MILELE UMPE E BWANA. NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.