Recent content by Squad master

  1. S

    Utabiri mara nyingi kwanini unawazungumzia watu katika ukristo?

    Vp kuhusu utabiri wa wakristo nao ni dhambi ama!?
  2. S

    Utabiri mara nyingi kwanini unawazungumzia watu katika ukristo?

    Hapo ndipo ninapohoji. Waislam wengi wanatabiri kwa kutumia nyota. Na ukitumia nyota kutabiri utazungumzia machache kulingana na interest zako. Hata shekhe yYahaya alikuwa akitabiri kwa kutumia nyota na sio kuambiwa na roho wa Mungu kama wanvyodai watabiri wa kikiristo.
  3. S

    Utabiri mara nyingi kwanini unawazungumzia watu katika ukristo?

    Shekhe Yahaya ni miongoni mwa watabiri wakubwa sana wa kiislam na Mola amrehemu huko alipo. Hoja yangu hakuna mtabiri anayetabiri kuhusu dini ya kiislam wanaotabiri wanatabiri kuongezeka kwa waumini wa kikiristo hasa wengi kuokoka n.k. ninachohoji kwa hawa watabiri ni kutozungumzia dni nyingine...
  4. S

    Utabiri mara nyingi kwanini unawazungumzia watu katika ukristo?

    Habarini wana jf. Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia tabiri za wachungaji mbalimbali hasa kwa miaka 3 mfululizo ingawa hata huko nyuma nilikuwa nikifuatilia. Mara nyingi watabiri wengi wamekuwa ni hawa wanaojiita manabii wa kikiristo wa makanisa ya kilokole. Nimekuwa nikitafakari sana kuhusu...
  5. S

    Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    Whether you like it or not bible is just a story written by people kwa utashi nq maono yao na si kuongozwa na roho mtakatifu. Hayo ya kuondoleww baadhi ya vitabu ni kwakuwa waliotuletea kitabu hicho cha biblia walitakata tujue vitu fulani na vingine tusivijue. Walikuwa na malengo yao binafsi...
  6. S

    Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    Suap Suala hapa ni je luca alivuviwa na roho mtakatifu au alifanya utafiti na kusimuliwa na watu aidha walioshuhudia au kusimuliwa na wao juu ya habari za yesu. Luca anakiri mwenyewe kuwa kasimuliwa wewe unamtetea kuwa aliongozwa na roho mtakatifu. Kipi sasa tukiamini story yako au story yake...
  7. S

    Time travel na Incarnation ni sawa?

    Nakubaliana na wewe 100 100
  8. S

    Hii hapa true stori ya lile sanduku la agano la bwana; the misery unsolved

    Aisee jamaa anajua sana kutangaza biashara za hadithi za kale. Nikikamilisha kitabu changu nitakuomba unipigie promo.
  9. S

    Je, wajua kuwa binadamu anaweza akafa akiwa mwanaume ila katika re birth akawa mwanamke?

    Alete ushahidi wa nani alikuwa mwanaume kazaliwa tena baada ya kufa akiwa mwanamke au jiwe au whatever. Ushadi tafadhali.
  10. S

    Inavyofikirika na wanaofikiri na namna isivyofikirika na wanaofikiri wanafikiri

    Ngoja nitafakari kwanza maana A kwanini ahesabiwe kosa kwa sababu ya B???
  11. S

    Hivi vitabu kuvisoma kawaida ni sawa ila sio kwa kumjengea mtu imani ya Yesu Kristo

    Kwa hiyo aliongozwa na roho mtakatifu? Waliomsimulia na aliowasikia walikuwa roho watakatifu? Duh za kupewa changanya na zako!!!!
Back
Top Bottom