Mtag Mama awasaidie hii familia lengo sio pesa inahitajika hapa ila ni angalau Mama apunguziwe adhabu ili alee familia yake na ingependeza kama angepata kifungo cha nje au apewe adhabu nyingine kulingana na hali yake.
Kuna watu niwapumbavu kabisa hata hyo namba imewekwa sio ya kwangu na hakuna...
Tunaomba msaada kuna tukio limetokea tumeshindwa, iko hivi kuna mama ni jirani hapa, mme wake alimuacha akiwa na watoto 4 sasa ikabidi awe anafanya vibarua akapata kamtaji kake kidogo akawa ana langua mihogo na kuuza ili alee watoto wake maan hata mtoto mkubwa alitokea jirani mwema akamchukua...
"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia mbinu za Tanzania. Zambia si Tanzania na Tanzania si Zambia. Hii ni Zambia, hatuwezi kutumia mbinu za nchi zilizofeli katika demokrasia.
Wale wanaofikiri wanaweza kutumia mbinu zilizotumiwa na Tanzania, hawawezi...
Elimu bora huanza na maandalizi bora!
Unahitaji mtoto wako kupata Home Tuition yenye mwalimu mwenye uwezo na ufuatiliaji wa karibu?
👉 Elite Home Tuition tupo kwa ajili yako! 💯
📖 Tunatoa masomo kwa:
👶 Pre-School
🏫 Primary
📚 Secondary
🎓 Advanced Level
🎓 University
✅ Cambridge & mitaala...
Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie basi sukari" hujakaa sawa Huyu nae anataka Buku, Mara buku mbili. Kwa sisi watu Wa Vyombo Hadi...
Hata wewe key board warrior mda wowote unaweza kuweka kwenye mikono ya sheria ukaanza kutia huruma
Mfano huyu unayemsuport endapo kakamatwa wewe mfuasi wake una namna yeyote unaweza msaidia?
Habari
Hatukatai kwamba kwa sasa serikali inafanya mambo mengi ambayo wananchi hawayafurahii na kiwango cha uungwaji mkono ni kidogo sana kulingana na aina ya utawala uliopo
Matukio mengi yanayoripotiwa kama ukosefu wa uwajibikaji ,vitendo vya rush wa, utekaji ,mauaji ya raia wasiokua na hatia...
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa sheria na ustawi wa jamii kuhusu uhalali wa adhabu hiyo kwa mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.