Recent content by SPONSA

  1. SPONSA

    MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Hapa sasa ndio nimetuliza nafsi nikajua sisi tupo wenyewe aisee
  2. SPONSA

    MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Ukiingia ajiraportal ipo received na tunaona kama kuna kupotezewa hivi
  3. SPONSA

    MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Yani ni kwamba hatujaitwa kufanya interview mpka sasaivi na karibu kada zote tayari zishafanya interview kwa level zote mpaka za wasaidizi kasoro sisi afisa hesabu wasaidizi
  4. SPONSA

    MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Kama unalo unalolijua kuhusu hili tuambie hili ndilo jibu sahihi utakaloweza kutusaidia ukinambia tulizana naona kama haujanielewa nilichouliza mkuu
  5. SPONSA

    MDAs na LGAs afisa hesabu wasaidizi (assistant account officer) hatujui hatma yetu kuhusu kufanya interview???!

    Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote...
  6. SPONSA

    Kupangiwa usaili wa mchujo na mahojiano

    Sure wengi wajuaji for nothing
  7. SPONSA

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Kumbe ni hvyo basi sawa kama navua chupi zaidi ya mara moja na sipendawi sawa.
  8. SPONSA

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Mwanamke bikra haaachi hovyohovyo mzee kakutunuka wewe labda mpka akimpenda mwengne kwaiyo relax wakati huu ni wako utumie vizuri nakwambia hivyo kwasababu na mimi nipo kwenye situation kama yako ndio maana nikaandika uzi sasa mm huku hakuna kitu sijafanya na ukitaka kupeleka moto ndio hvyo...
  9. SPONSA

    Nimekubali huyu binti bikra anazitesa hisia zangu. Nimekubali nimekamatika. Natamani kutoka lakini nashindwa sijui nifanye nini

    Ebana mzee huwa wapo hivyo hvyo lkn naimani kama kakuchanulia miguu kakutunuku kama mm huku hvohvo ila tunakuwa na huruma sema tukaze mwanangu tuue anasoma chuo gan mana kuna vyuo kuna mafisi sana wanaweza kuruka nae
Back
Top Bottom