Recent content by Spms

  1. S

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Mrejesho wa jambo langu bado napambana mpaka sasa nimefikia hapa.
  2. S

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Ndiyo kwa maana kiwanja ni chake . Kinachofanyika tu ni kwamba gharama ya kujenga frame inatoka kwangu kwa kuwa yeye kwa sasa hana pesa ya kujenga . Hivyo basi gharama inayotumika kujenga ni sawa na gharama ambayo nimelipia kodi kwa muda flan au miaka kadhaa lkn tumetengeneza mkataba wa...
  3. S

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Safi sana mkuu na mimi nitakutafuta unipe maarifa zaidi nina mpango wa kufanya hii biashara ingawa lengo langu ni kufikia kuuza vipuri, urembo na matengenezo kwa magari lkn kutokana na mtaji pia na mazingira nimeona nianze kwa pikipik na bajaji nikiwa na weka spare za magari kidogo kidogo maana...
  4. S

    Mwenye uzoefu na Interview za Tanroads naomba muongozo

    Scientific calculator vip inahitajika au hairuhusiwi ni kichwa tu?
  5. S

    Mwenye uzoefu na Interview za Tanroads naomba muongozo

    Asante kwahilo nipo vzuri nahitaji pia kujua wanakuwa na interview ngapi?
  6. S

    Mwenye uzoefu na Interview za Tanroads naomba muongozo

    Wana Jf kwa yoyote mwenye uzoefu na interview za Tanroads naomba mbinu zaidi na most of questions ambazo huwa wanatoa katika usaili. Nimeitwa usaili wa weighbridge operator Tanroads geita usaili unafanyika tarehe 22 mwezi huu wa 6.
  7. S

    Wakuu nina bachelor degree ya mechanical engineering natafuta kazi

    Kama kuna kazi ya garage mimi nipotayali nipo Dsm
  8. S

    Faida za kuwekeza katika mashamba ya miti Iringa

    Ndiyo zinapatikana ila Cjajua size Ya miti unayotaka lkn kwa Eneo tupu ambalo unapanda mwenyewe lipo la ekari 30
  9. S

    Faida za kuwekeza katika mashamba ya miti Iringa

    Hiyo attachment ni mfano wa hati zinazotolewa
  10. S

    Faida za kuwekeza katika mashamba ya miti Iringa

    Utapeli ni kila sehem au maeneo ya biashara mkuu cha msingi ni kuwa makini Sana na matapeli asante kwa kutoa taarifa mapema pia nasisitiza kwa kila mtu manunuzi ya Aridhi yanatakiwa kuwepo na uongozi wa Kijiji ambapo ndo shahidi ktk upande wa serikali nazan ni njia moja wapo itasaidia kupunguza...
  11. S

    Faida za kuwekeza katika mashamba ya miti Iringa

    CONTACTS : WhatsApp, sms & Call : +255763110764/+255625689363 Karibu uwekeze ktk Aridhi na mashamba ya miti Zifuatazo ni faida utakazonufaika: 1.Shamba la miti litakunufaisha ufikiapo mda wa kuvuna waweza kuvuna mbao au milingoti ya nguzo za umeme na kuuza inategemeana na aina ya miti...
Back
Top Bottom