Recent content by Spiritual Man

  1. Spiritual Man

    TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    Tunashukuru tatizo limetatuliwa na kila kitu kipo shwari
  2. Spiritual Man

    TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    Bado rushwa imetawala kwa kasi,na inaendelea. nafanyia kaz wiki hii ushauri wako.
  3. Spiritual Man

    TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    TANESCO LIFANYIENI KAZI HILI SWALA MSIPUUZE TAFADHALI AMA KAMA HUDUMA NDIO INAKWENDA HIVYO TUJUE.
  4. Spiritual Man

    TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    Kwanza nashukuru kwa kuliona na kulijibu bandiko hili, Pili niwaombe radhi TANESCO sitaweza kuwapatia namba ya simu maana mwanzo ilitokea namba hiyo mliwapa walewale wenyeviti na watendaji husika wa vijiji na vitongoji ambao nao wanakula pamoja na walalamikiwa bila nyinyi kujua. Hivyo hili ni...
  5. Spiritual Man

    TANESCO mtusaidie kijiji hiki wasimamizi mradi wa REA wanatuibia sana

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikiwa kama muwakilishi wa wanakijiji wenzangu wenye uchungu,majonzi na masikitiko.Moja kwa moja nafikisha malalamiko kwenu shirika letu la umeme Tanzania TANESCO juu ya RUSHWA kubwa iliyotawala katika usimamizi wa mradi wa umeme wa rea...
Back
Top Bottom