Recent content by spicies

  1. S

    Mwalimu mpya pita hapa upate madini

    maisha popote pale asikwambie mtu unapopata changamoto ndipo akili inakuwa ugumu wa masiha ndio kipimo cha akili wewe unakabiri vipi hilo tatizo.
  2. S

    Mwalimu mpya pita hapa upate madini

    Walimu mkumbuke kwamba maisha ni sehemu yoyote ile, hivyo asikudanganye mtu kwamba unapokwenda ni kubaya au kuzuri maisha sehemu yoyote ile cha kuzingatia ni kwamba fika sehemu husika angalia mazingira ya sehemu husika geuka nyuma angalia mbele, kushoto na kulia kuna vitu gani havipatikani...
  3. S

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Celina Kombani hiyo shule ipo tarafa ya Mwaya yani ukifika Ulanga disrtict council ambapo ni makao makuu ya wilaya ya Ulanga unapanda gari kuelekea mwaya mdau shule ipo sehemu nzuri na umeme upo na network ipo mdau ni eneo ambalo .Tarafa ya mwaya ni eneo ambalo limezungukwa na hifadhi ya mbuga...
  4. S

    MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Habari walimu, poleni kwa msoto wa kusubiri ajira kwa muda mrefu sana, lakini kwa nguvu za mwenyezi tamisemi wametupatia ajira japo kuna merekebisho kidogo kwa walimu wenzetu ambayo hawakupata ajira kabisa. Karibu wilaya ya ulanga mkoa wa morogoro mimi pia mwalimu mpya mwenzenu nimechaguliwa...
  5. S

    Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

    Haya mdau tunasubiri hizo updates ili tujue maana watu wanashinda mitandaoni daily wakiwasikilizatamisemi
  6. S

    Walioenda TAMISEMI tupeni ripoti

    Wakuu habari zenu kutokana na mabadiliko kuendelea na kutolewa list ya majina ya walimu wa sanaa,biashara na walimu wa sayansi na hisabati kuna haja walimu hao kwenda kuripoti kwenye vituo walivyopangiwa maana kama kujua sehemu wanazokwenda wameshajua toka siku walipotoa mjina hayo au wasubiri...
Back
Top Bottom