Recent content by Spectrophotometry

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Serikalini inaanza kulipa accomodation allowance kwa mtu aliyefikia cheo cha SENIOR LECTURER.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Halafu tunategemea academician wagundue vitu wakati mtu anawaza mwezi utaisha vipi. Ukiwa na njaa na akili haifanyi kazi vizuri
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Data za mwaka 2024 Tutorial Assistant Degree 1.7M Assistant Lecturer Masters 2.5M Lecturer PH D 3.4M Posho nyingine inategemea chuo na chuo vyuo vingine vikavu kama udongo wa wilaya ya Kongwa. Academician ni kuku wa kienyeji unatakiwa ujitafutie posho kupitia maandiko yako na Research papers...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    IFM tu wana afadhali. Vyuo vilivyobaki vyote utakula nyasi
  5. S

    JamiiForums Tanzania HOJA Usaili wa ajira za Tanzania: Je, Waombaji wanapewa nafasi ya kweli kushindana au ni geresha?

    Magufuli hakuwa mjinga alipopeleka ajira zote utumishi. Pamoja na mapungufu yao utumishi lakini watoto wa masikini kama mimi tulipata ajira. Lakini hizi taasisi zinazoajiri zenyewe tabu tupu fitina nyingi, kujuana na hasa kama kuna watu wa mkataba ndio kabisa. Hebu fikiria mtu wa mkataba kafanya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    TPDC usijaribu pale kama huna mtu unapoteza muda tu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sio wote wana safari kuna ofisi za TRA mikoani huko watumishi hadi wanaenda kufua nguo ofisini maana hakuna wateja wa kuja kulipa kodi wala kukata leseni. Asubuhi hadi mnafunga ofisi wateja watano.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Nijibu inbox TRA 4 ni pesa ngapi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mavazi tu ya watumishi yanatosha kujua kama hii taasisi hapa nitakula maini au nitakula nyasi. Unakaa mapokezi watumishi wote wanaopita hakuna hata mmoja aliyevaa hata kiatu cha 150000 jua hapo taa nyekundu imewaka ni wewe sasa kuamua kupita au kusimama
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hizi ninazo taja hapa nenda hazina dhiki ila zilizobaki nje ya hapo ambazo sijazitaja kuwa makini sana na fanya tafiti vya kutosha kabla ya kwenda 1. Mifuko ya hifadhi yote na bima PSSSF, NSSF, NHIF, WCF 2. Taasisi zilizo chini ya wizara ya fedha Hazina, BOT, UTT, IFM, CSMA, CAG, UTT 3. Taasisi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuwa kupitia TAJIRI kupitia kuajiriwa basi usisome kozi ya UDAKTARI

    Sio udaktari tu ila kazi yeyote ambayo hukutani na hela ni umasikini
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Degree ajira mpya anaanza na ngapi mkuu mwenye scale ya TRA4 ? Hata usitaje figure kamili wewe sema tu around kiasi fulani
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Sio taasisi zote ziko vizuri kuna taasisi ambazo hazina makusanyo kabisa au makusanyo yao hafifu wanategemea bajeti kutoka serikali kuu. Hizo taasisi ziogope kama ukoma utakula unga kama nyoka.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mkuu uko serious na hii figure uhakika kabisa ?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Niambieni kabla sijajichanganya pale TRA yule anaeanza kazi na degree ajira mpya scale yake TRA 4 ni pesa ngapi? Hapa nilipo mimi ni senior ila sioni mbele nataka kufanya recategorization nikaanze upya maisha TRA kwa fani nyingine niliyosomea.
Back
Top Bottom