Nawashukuru sana wadau wote kwa mawazo, ushauri na michango yenu kuhusiana na sakata langu la ndoa. Kuna waliotoa mawazo mazuri sana, Mungu awabariki kwa moyo wenu wa kunijali. Pia kuna walioleta utani na kunifanya nitabasamu, Mungu akubarikini pia.
Bado nawakaribisha kuendelea kutoa mchango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.