Recent content by spade

  1. S

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Aisee kwa mawazo ya aina hii acha tu endelee kuwa maskini
  2. S

    Waziri Angela Kairuki, sijakuelewa na sitakuelewa kuhusu ukaguzi wa vyeti vya wanajeshi

    Sidhani kama kweli ni risk kwa usalama wa taifa. Ila ninachokiona mie ni risk kwa watawala na chama chao. Tuweni wakweli! Kama serikali imeamua kukagua watumishi basi ifanye hivyo kwa wote kwa usawa na haki. Vinginevyo serikali inajitafutia chuki bila sababu.
  3. S

    Balozi Amina Salum amuomba Maalim Seif kufikiria upya uamuzi wa kususia Uchaguzi wa marudio

    Kwao muafaka maana yake ni Maalim Seif akubali Shein aendelee kuwa rais.
  4. S

    Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Asante sana. Nimejifunza Mengi kutoka kwenye huu uzi. Hapa ndio huwa naona umuhimu na heshima ya JF
  5. S

    Kikwete amepokea kwa furaha na unyenyekevu uteuzi iliofanywa na Bw. Ban Ki Moon

    Hili Jipu naona mmelikwepa kwa style hii. Ili baadae mje mtuambie UKWASI kaupatia UN!!! Haya bana. Kasi imeelekezwa kwa wanyonge.
  6. S

    Magufuli mtake Samwel Sitta aondoke kwenye Jumba la Spika Masaki

    Si ajabu alishauziwa kitambo. Sisi tunabwabwaja tu. Serikali yetu tenaaa...
  7. S

    Magufuli mtake Samwel Sitta aondoke kwenye Jumba la Spika Masaki

    Kuna office ndogo za bunge pale posta, Dar es Salaam. Nafikiri hayo nayo ni makazi madogo ya speaker. Watasema tu ukiwauliza hawaishiwi majibu wale.
  8. S

    Tatizo la Tanzania si Katiba mpya

    Ubovu wa katiba iliyopo ndio inaleleta mlolongo wa shida kubwa zote ambazo watanzania tunazo kama rushwa, ufisadi na wizi. Katiba ya 1977 iko katika muktadha wa chama kimoja CCM (chama kushika hatamu) hilo halina ubishi na hapo ndio tatizo linapoanzia. Vyeo na madaraka vinatoka kwa kuzingatia...
  9. S

    Mke wa Kafulila, Bi. Jessica Kishoa akamatwa na Polisi

    Hakuna lolote hapo. Wanachotaka ni mh. Kafulila akashughulikie kesi ili asizungumze kuhusu escrow katika bajeti ya wizara ya nishati na madini. CCM mnatumia akili ndogo sana.
  10. S

    Fid-Q azindua kampeni ya kuhamasisha vijana kushiriki mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa Taifa letu

    Uwepo tu wa hiyo maiki ya Clouds ni kielelezo tosha CCM na Jmakmba wako nyuma ya huu mradi wa wasanii njaa hawa.
  11. S

    CHADEMA fuatilieni hili: Maajabu ya Serikali ya Mtaa Changanyikeni

    UKAWA hawako serious naona wanatutania kama sio kuleta masihara. Hakuna tofauti kubwa ya kimkakati ya ushindi na miaka iliyopita. Kwa mfn nimeenda Majohe Kichangani Gongolamboto wasiopenda CCM wanalalamika kuwa upinzani hawafahamiki ni nani anagombea na kilichonishangaza ni kuona mgombea wa CCM...
  12. S

    Ajali Ifakara mjini: Basi na treni zagongana, watu wahofiwa kupoteza maisha

    Ajali mbaya ya kutisha imetokea muda huu maeneo ya Mang'ula kituo baada ya Ifakara mjini. Ajali imehusisha treni inayoelekea DSM na basi linalofanya safari za DSM-Mlimba Morogoro. Watu wengi sana wahofiwa kupoteza maisha kutokana na jinsi basi lilivyo haribika. Dereva wa basi ametoka mzima na...
  13. S

    Matokeo Darasa VII 2014: Kwaruhombo(Bagamoyo) vs Tusiime (Ilala) P/S

    Nimeyapokea matokeo kwa masikitiko makubwa sana. Matokeo yanashtua sana sana, matokeo hayo yanatoa taswira halisi matokeo ya kidato cha nne baada ya miaka minne mbele ambayo bila shaka yatakuwa na tofauti kubwa sana pia. Sina hakika sana mshtuko nilionao mimi juu ya tofauti ya matokeo hayo...
  14. S

    Inahitaji kujitoa ufahamu kupiga kura ya hapana kwa mambo haya 12

    Wanatulazimisha kuikubali katiba iliopendekezwa kwa misingi miovu na ya kilaghai!!! Katiba ambayo itawanufaisha kina Makamba, RizMoko, Hmwiny, Fmamvi na baba Zao. Me nashangaa Hawa vijana wa Lumumba wanavyokaza mishipa ya shingo kuitetea. Fikirisheni vichwa vyenu jamani Tuikomboe Jamhuri ya...
  15. S

    Inahitaji kujitoa ufahamu kupiga kura ya hapana kwa mambo haya 12

    Kama mnalijua hilo iweje nyie mmeweka yote mnayoyataka nyie? Mmejitoa ufahamu mkachakachua maoni ya wananchi sasa na sisi ni zamu yetu. Hapana kwa waraka pendekezwa wa Chichiemu ndo habari ya mujini.
Back
Top Bottom