Recent content by SPA

  1. S

    JamiiForums Tanzania Umesimamishwa na polisi wakati ukiendesha: Zijue haki na wajibu wako

    Dawa hapo ni kuwa na vitambulisho vya Taifa na viratibiwe kwenye data base, kosa lake liingizwe huko na faini zikatwe moja kwa moja kwenye akaunti yake kwa mitambo maalumu ya kiteknolojia. Komputa bwana!!! Hapo rushwa inaweza kushika adabu. Dawa halisi ni wachungaji na mashehe wetu wa dini...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Ukiona hivyo wamejeruhiwa katika ulimwengu wa roho, sisi tuendelee kuomba maana ndiyo silaha yenye nguvu. Siyo wao ni viumbe.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hali ya Hatari Tandika!!

    Mbona taarifa hazitoi mwelekeo, Tandika sehemu gani na makanisa mangapi yamechomwa? mwenye habari tujulisheni!!!!
Back
Top Bottom