Recent content by SOVIET UNION

  1. SOVIET UNION

    Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Ni upuuzi kudili na mtu ambaye hayuko kwenye uongozi wa nchi. Wakenya ni watu wanajitambua sana huwesi wasikia wana msakama Raial Odinga hatasiku moja na Raia yuko kwene siasa enzi za Moi hadi leo hii. Watanzania tukubali tuna ujinga mwingi sana na watu wanatumika kama Kondomu.
  2. SOVIET UNION

    Msaada wa utofauti wa lactogen

    Mama wa mtoto kafariki, au ana tatizo la Kiafya la kumfanya asinyonyeshe?Lactogen hizo zimetengenezwa kama kuokoa maisha ya mtoto endapo mama wa mtoto Kafariki au kapata tatizo kubwa sana la kiafya la kumfanya asinyonyeshe, Lactogen sio mbadala wa mama mama mzazi ambaye ni mzima na yupo tu ila...
  3. SOVIET UNION

    Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

    Juzi kuna mshikaji jafanyiwa oparation kwa tatizo kama hili kwa asilimia 100. alitumia sana miti shamba kama wewe ila kumbe akaja kuta kuna mrija imejisokota kwenye kibofu huko, wahi Pimwa vipimo vya maana na unaweza kuta tatizo ni kama la jamaa. Kapime faster
  4. SOVIET UNION

    Giant Bamboo, ni kubwa mno size pungufu ya nguzo za umeme na size sawa kabisa na nguzo za TTCL enzi zile.

    Yes, na pia wana. export. kwenda nchi za Ulaa, yaani wanazikata wanaweka kwenye Makontena wana Export zinatumilq bado, kusambazia umeme wanazitumia, za Zege ni za kusafirishia umeme
  5. SOVIET UNION

    India na dawa nzuri sana za miti shamba,

    Himaya wana Agents wao,
  6. SOVIET UNION

    India na dawa nzuri sana za miti shamba,

    Nisha zitumia sana na nina watu wanazitumia, India inahadi Hospitali za kutibu kwa Madawa ya asili, Uliza Raila Odinga yule Binti wake alienda kuponea Macho India.
  7. SOVIET UNION

    PreGE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

    We mjinga sana, endelea basu na CCM yako, make imewafanya muwe mazuzu
  8. SOVIET UNION

    Naomba ushauri wa tatizo langu la hedhi endelevu

    Pia kuna hizi hapa kutoka India pia ila kampuni tofauti na Himalaya. Hao ni Zest unaweza google pia ukaziona. Hizo aina Tatu hapo pia ni nzuri sana ni za Kienyeji India, na unaweza pata maelezo yake zaidi kwenye google.
  9. SOVIET UNION

    Naomba ushauri wa tatizo langu la hedhi endelevu

    Pole sana, Jaribu Dawa za Himalaya Weleness Dawa nzuri sana hii, Kesho nitakuangalizia zingine pia zinaweza weza kukusaidia.
Back
Top Bottom