Recent content by southg

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Pole po tunakusubiri wazime wazimie watajua mama A hakubaliki
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mfululizo wa haya matetemeko HANANG, wataalam chukueni hatua za haraka

    Aliogopa kuteremkia mlimani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mfululizo wa haya matetemeko HANANG, wataalam chukueni hatua za haraka

    Hawapo? Basi tumkodi Mzee wa majanga bwana Mbatia
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mfululizo wa haya matetemeko HANANG, wataalam chukueni hatua za haraka

    Kumekuwa na wimbi la matetemeko hapa HANANG Kutokana na majanga yaliyotukumba mwaka 2023, ya maporomoko ya tope Toka mlima Hanang, bado wananchi wanahofu ya kukumbwa na janga lingine. Hivyo basi serikali tumeni wataalamu waje wafanye uchunguzi.Tuchukue tahadhari kabla ya hatari
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Hapati tupo na Asia machachari
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Mc eddy
  7. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mary Nagu achukua fomu ya kuwania Ubunge jimbo la Hanang

    Tupo na Asia Halamga jembe ulaya
  8. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hiki Kitendawili cha "WAZIRI Mkuu Majaliwa kutogombea Ubunge" Ili "kuwapisha Vijana", kitateguliwa mbele ya safari

    Aweda irqutu ,have been following you Kwa miaka hujawahi ropoka.... something loading
  9. S

    JamiiForums Tanzania Majaliwa kastaafu siasa au kastaafishwa?

    Sir100 hajitambui
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi afanya uteuzi wa RC na Ma-DC

    Namba 2....
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashinda tuzo ya " Word Best Tourism Destination Award"

    Siku za karibuni upuuzi umekuwa mwingi sana mara tuongoze viwanja vya ndege,mara ligi Bora ,mara mama Bora Africa mara tuongoze Kwa uchumi duniani sasa tunaongoza utalii.Ila tuliopita jeshini Kuna Ile amri ya nyuma geukaa...wa Kwanza anakuwa wa mwisho
  12. S

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ole Sabaya Kapauka utadhani katoka Jela jana

    Lile shingo la zamani za jiwe lipo wapi?
Back
Top Bottom