Recent content by southern trader

  1. southern trader

    Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Nikweliiii kabisa ila kumbuka tuna mwanasheria mkuu waserkali pia raisi anamwanasheria wake je wanafanya kazigani?
  2. southern trader

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Niwepi hao? Nawakati walikaa bungeni kulijadili hilo nawakakubalii
  3. southern trader

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Swali zuri: haitawezekana watanzania kunufaika kwenyehuo mkataba Bali watakaonufaika niwatu wajuu mkataba ungekua wakutunufaisha usingekuja kipumbavu namasharti yakijinga kiasi hicho ukitaka kuprove haikuwepo sababu yakutumia rushwa kwamkataba utakaokua namanufaa kwe2
  4. southern trader

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Watakamatwaje nawakati selkari ndio iliwapeleka Dubai [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
  5. southern trader

    Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Kunamikataba inatutesa mbaka leo wakulima wananyang'anywa mashambayao yaliyomo maeneo yamigodi kisa mikataba yakipumbavu hii ilikua starting point kwawatanzania kwan viongozi wanaona wanaongoza watu wasio naakili Ivo wanaamua mambo kilahisi sanaaa
  6. southern trader

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Mkuu Tanzania elim HAITUSAIDI huyo jamaa hanaakilii kabisa yani
  7. southern trader

    Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Tumia akili Basi daaa kwasababu raisi kile nicheo naanavotoka nyalaka anaziacha inaonekana watanzania wengi wanaelewa kama wew ndiomana hawalipi uzito hili swala kasome mkataba alafu uje namajibu then nenda kwenye katiba uone principle of sabrogation ili ujue raisi ajae ataingiaje kwenye mkataba...
  8. southern trader

    Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    So sorry nliskim but ulichokianfika nisawa Sana mkuu Sasa wasomi tunao wategemea selkalin akiwemo ni speaker wa bunge lakin daaaah so hurt yani
  9. southern trader

    Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Yaaah mim kwahili Nipo tayarii ikibidi HATA damu zimwagike maana Tanzania wogaa huwa unatuponza Sana hamna taifa lililo endelea kwaamani
  10. southern trader

    Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Daah wee nimtanzania kweli au mkataba hujausomaa
  11. southern trader

    TANZANIA ELIMU HAITUSAIDI

    nashangazwa kuona wasomi wanchi wanaunga kuiteketeza nchi, ukizungumzia bandari ndio uchumi wa nchi na bandari ndio huamua imports na exports yan kipi kiingie kipi kitoke, na kisikitisha zaidi maelfu yawatanzania wamejiajili huko inamaana bandari zikibinafsishwa watanzania wataenda kunyanyaswa...
  12. southern trader

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Tatizo lawatu wanathamin Sana langi nyeupe kamanduguzao iviii
Back
Top Bottom