Recent content by sourcewise

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Niajiri mtu ??
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Wazazi walio wengi kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine?

    Huwo ni uongo ,inatofautiana , Mimi napendwa na Baba na naabudiwa kama Moja ya miungu lakin ni baada tu ,ya kutimiza zile sifa ambazo amekuwa akizitaka Toka zaman kupitia kwa wakubwa zangu zaidi ya 6 ,na akakosa. Hata mim alikuwa hanipendi alipenda watoto wake wakike lakin baada ya Mimi kuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    🥺😂 Ujue watu ni wehu sana , wanageuza Mungu ndo mfanyakaz wao yaani wanataka like neno la kwambwa watakula kwa jasho wanataka kukwepa kimtindo dadek.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Hawa wenye makebo Huwa nawachapa na hawa popoi chochote
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Nashukuru kwa michango yenu kwa wale wanaojielewa. Asante kwa michambo yenu magongo wazi . Na wote mlokosa hoja mkabaki kubaki mada na niny mkafanyiwe hivyo katka maisha . Case closed nafungua chipusi point
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hodi! Naombeni mbinu ya kujizuia kumwaga mshindo!

    Labda jichape finger ukiwa ushakaribia
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Ndogo kweli ,. Ngoja nifungue Banda la kiepe dadek
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Duuu ,haya na uiuze sasa .Nilichogundua pia ,ukiachana na wanawake pia wapo wanaume ambao hawapend kuona WIN kwa wanaume wenzao .
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mpaka Leo hii toto la kiume linashabikia ushoga ase , kweli hari ni mbaya Linda kishundu hicho watakipampula 😂
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Kufungua Banda la kuchoma chips si busara ??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mwenye wazo please 🥺 🙏 Wale wenye maswali yaso na mbele wala nyuma sitaki .
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Niliwah kuwa winga wakati nipo chuo X DSM , nilivyo drop out nikapoteana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Ya kutembeza kwenye bar hapana
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Sijui kama uliloliandia umesoma aua ndo wale mnaponza wachungaj wanaonekana hawajitambui.Sasa nipo na mtaji na Mungu kanipa afya njema na uwezo wa kuchakarika kujua fursa .Wewe bado unataka niendelee kuomba sasa niombe nin ?? Iman bila matendo si kitu
Back
Top Bottom